Goldie atua Bongo, afanya ngoma na AY
― Jana mrembo wa Nigeria na aliyekuwa mshiriki wa BBA Stargame, Goldie, alitua Tanzania akitokea nchini Uganda ambako huko alifanya collabo na rapper Navio. ∙ Jana usiku Goldie alialikwa kwenye kipindi cha Friday Night Live na mara zote amekuwa akitweet picha mbalimbali kwa followers wake wa Twitter. ∙ Goldie alipokuwa akihojiwa na mtangazaji Sam Misago kwenye FNL ya EATV Goldie amefanya ngoma na Ambwene Yesaya kwenye studio za MJ Records chini ya producer Marco Chali na [...].










