Radio na Weasel wadakwa kwa kuingiza bidhaa bila kulipia kodi
― Maswahiba wa kundi la Goodlyfe na nchini Uganda, Radio na Weasel wiki iliyopita walimakatwa na walinzi kwenye uwanja wa ndege wa Entebbe baada ya kuingiza bidhaa ambazo zilikuwa hazijalipiwa kodi. ∙ Wawili hao walikuwa wakitokea nchini China wakiwa na suitcase zilizokuwa zimejaa simu, nguo na viatu ambavyo vilikuwa havijakaguliwa kwenye ofisi za custom. ∙ Inadaiwa kuwa wasanii hao waliomba msamaha na kuahidi kutorudia tena na ndipo walipoachiwa. ∙ Hata hivyo walilazimika [...].








