Forgot password? Create an Account
the blog is about news,media, events and artists from tanzania
Listed: Jun 3, 2012
MPEKUZI ― Yafuatayo ∙ ni majina ya washindi wa tuzo za filamu kwa mwaka 2012/13 toka kampuni ∙ ya steps entertainment zilizofanyika juzi usiku kwenye ukumbi wa ∙ hoteli ya blue Pearl iliyopo ubungo jijini Dar es Salaam.Katika tuzo ...
Tags: Habari Za Kitaifa
Mpekuzi ― 1 day ago
MPEKUZI ― WIKI iliyopita kuliibuka sakata ∙ zito lililochukua nafasi kwenye vyombo vya habari na mitandao ya ∙ kijamii, lililomuhusisha mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Hezelina ∙ Mrema mkazi wa Mbezi Beach, eneo la Tangi Bovu ...
MPEKUZI ― Mwili ukiwa eneo la tukio. ∙ Ukiwa umefunikwa. ∙ Mashuhuda wa tukio hilo. ∙ Kijana ∙ mmoja aliyefahamika wa kwa jina la Kobero, leo asubuhi amekutwa akiwa ∙ amekufa kwenye chumba kimoja cha...
MPEKUZI ― MWENYEKITI ∙ wa Baraza la Wazee wilayani Kilolo, Lunyiliko Nyaulingo amelazwa katika ∙ Hospitali ya mkoa Iringa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mgololo amelazwa ∙ Hospitali ya wilaya ya Mufindi baada ya kujeruhiwa vibaya na watu...
MPEKUZI ― Mbunge ∙ wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari ameshambuliwa na vijana wa Chama ∙ cha Mapinduzi wakiongozwa na Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi, Mkoa wa ∙ Arusha aliyejulikana kwa jina la Kalanga na kulazimika ∙ kulazwa...
MPEKUZI ― Taarifa ∙ ambazo zimepatikana kwenye mitandao jamii zinaelezwa kuwa, jana usiku ∙ katika kata ya Minepa jimbo la Ulanga Magharibi, vijana waliosadikiwa ∙ kuwa wa “green guard” waliwavamia viongozi wa CHADEMA na kuwajeruhi......
MPEKUZI ― <!-- adsense -->
MPEKUZI ― NI ∙ siku ya furaha kwa Kanye West! Kim Kardashian amejifungua mtoto wa kike ∙ Jumamosi asubuhi katika hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center, Los ∙ Angeles, mtandao wa OMG umethibitisha.Inasemekana Kardashian, ∙ ...
MPEKUZI ― <!-- adsense --> ∙ Camera za jumba la big brother zimeendelea kuaanika mambo yanayoendelea ndani ya jumba hilo ∙ Mashiriki toka Malawi amekuwa ni mshiriki wa kwanza kuanikwa na camera hizo akijichua (...
Tags: NATASHA, Habari Za Kitaifa, PICHA ZA UCHI
MPEKUZI ― Mu Ethiopia Betty na mu Sierra ∙ Leon Bolt wameanikwa tena na camera za Jumba la big Brother wakivunja amri ya sita. ∙ Hii ni mara ya pili kwa washiriki hao kutenda tendo hilo la aibu ndani ya kamera hizo ...
Tags: Bolt, Habari Za Kitaifa, Betty
MPEKUZI ― WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary ∙ Nagu pamoja na Mbunge wa Babati Vijijini, Jitu Soni (CCM), wamenusurika ∙ kuchomwa moto na wafuasi wa Chadema usiku wa kuamkia jana. ∙ Tukio hilo...
MPEKUZI ― Tume ya taifa ya Uchaguzi imesimamisha kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa ∙ udiwani katika kata nne jijini Arusha. ∙ Akizungumza kwa njia ya simu na ∙ Radio TBC FM,kutoka Zanzibari mwenyekiti huyo wa tume ya uchaguzi ∙...
You got a blog? Or you are just interested in being a brand on the Internet? Where exactly ...
I have no doubt that creating and using an eBook for marketing is one of the most powerful ...
Chances are you’re eating more sugar than you think, especially if you’re ...